BUOMS-JUHUDI
Business & Office Management System (BUOMS) ni mfumo wa kidijitali unaopatikana kupitia mtandao (web-based
application) uliobuniwa kwa ajili ya kusimamia biashara, bidhaa, wafanyakazi, wateja pamoja na shughuli zote za
kiofisi kwa ufanisi mkubwa.
-
Usajili wa Bidhaa, Wafanyakazi na Wateja
-
Usimamizi wa Malipo kupitia Cashier au Meneja wa Mauzo
-
Mawasiliano ya Ndani (SMS/Comments)
-
Ripoti za Mapato, Matumizi na Mauzo
FAIDA ZA HUU MFUMO
- Kuongeza Ufanisi wa Kazi
- Kupunguza Makosa ya Kibinadamu
- Kuondoa/Kupuguza Upotevu wa Mapato na Bidhaa
- Ufuatiliaji Sahihi wa Mapato na Matumizi
- Ripoti za Wakati Halisi (Real-Time Reports)
- Kurahisisha Mawasiliano ya Ndani
- Kuongeza Usalama wa Taarifa
- Kuongeza Uaminifu kwa Wateja
- Kuwezesha Ukuaji wa Biashara
Designed by Mashilingi IT Expert Co.LTD